TUMEWAKOSEA WAMACHINGA
* Msimamo wangu Binafsi juu ya suala la Machinga * Kwanza nitoe pole kwa ghasia na taharuki na Mabadiriko ya ghafla zidi ya waMachinga Bodaboda, Mama Rishe na woote walioghubikwa na Mambo ya kupangana mjini na huenda vijijini. Kwangu Binafsi naona mmewakosea Sana kundi la jamii hii ya wafanya kazi na haswaa waliojiajiri kupitia umachinga. Na Declare intest kuwa Mimi Ni Machinga. Pia nakubaliana na Mpango mzuri wa serikali kwa tunachokiita Uwepo wa mpango wa maeneo maalum ya biashara za wamachinga na namna Boda boda watakavyokuwa wanaingia na kutoka mjini. Lakini wateule mmekurupupa mno juu ya Jambo hili na mmegharimu maisha yetu na Maisha ya wanchi (siwaiti wanyonge nawaita wajenzi wa taifa na walipa Kodi). Suala hili lilipaswa liwe shirikishi na Mpango wa muda mrefu wa kubainisha maeneo, changamoto zao na utaratibu mzuri wa kazi zao za kichinga na Bodaboda kabla ya kutufurumusha, sio suala la kukurupushana namna hiii (Chama changu kupitia mwenenezi taifa nakubaliana na kauli ku...