TUONGEZE JUHUDI KUFANYA KAZI NA KUMPA USHIRIKIANO RAIS WETU

Nianze kwa kuwapa pole na majukumu mazito kwenu viongozi na watanzania wote popote mlipo kwa kazi na majukum makubwa ya kila siku mnayofanya, hii yote ni katika kuutengeneza mkate wa kila siku na wajibu wako kama sehemu ya kuijenga Tanzania mpya na familia zetu. Sambamba na pole hii niwapongeze kwa kazi nzuri mnazozifanya kuhakikisha tanzania yetu inasonga mbele (SISI NI TANZANIA MPYA).
hakuna asiyejua kuwa zama hizi ni zama za kazi na hasa kazi ya kuijenga Tanzania mpya Tanzania ya uchumi wa kati na ya viwanda naomba kusema yafuatayo.
ndugu watanzaia wenzangu Tanzania mpya ni Tanzania ambayo watu wake wanapaswa kuwa wazalendo  katika kutimiza majuku yetu ya kila siku kwa nafasi zetu tofauti tofauti ni wajibu wetu kufanya kazi kizalendo ili kutimiza wajibu wetu vizuri wa kuijenga Tanzania mya. 
Tanzania tunayo bahati kubwa kuwa miongoni mwa taifa ambalo Rais wake ni Mzalendo anayelipenda taifa lake kwa moyo wake wote na nguvu zake zote zote, anfanya kazi kubwa yeye pamoja na wasaidizi wake kuhakikisha Tanzania inasonga mbele na kwa bahati nzuri mafankio ya Tanzania mpya tumeanza kuyaona na makubwa yanakuja.
Tanzani hii inayoongozwa na Rais mzalendo Dk, John Pombe Magufuli ni Tanzania watu wake wameanza kumwelewa falssafa yake ya ''HAPA KAZI TU''  nini maanake:-
ili Taifa liweze kujenga uchumi wake ni lazima watu wake wawe wabunifu wa  kufanya kazi ama kuzalisha kwa tija ili exportation iweze kuwa kubwa zaidi kuliko importation maanake ni kwamaba kufanya kazi inalisaidia taifa kukuza pato la taifa na pato la kila mmoja kuongezeka. HAPA KAZI TU maana kila mmoja ajitasimini nini, wapi, kivipi anaweza kuzalisha akakuza kipato chake na taifa likaongeza kipato chake.
Kazi kubwa mliyonayo viongozi ni kuongeza juhudi katika kumsaidia Rais anapokuwa anahamasisha watu kufanya kazi na kazi yenu viongozi ni kuongeza juhudi katika kubuni ama kuwa wabunifu katika kazi zenu na niwape pongezi wasaidizi wa Rais mnajituma na munaenda sawia na mwendo kasi alionao Rais wetu. 
Tmbueni fursa mlizo nazo katika maeneo yenu na mwekeze akiri zenu juu ya mfanye nini ili hizo fursa zilizopo katika maeneo yenu mzihubiri kwa wanchi ili waone faida ya kuzifanyia kazi kwa manufaa mapana yao pamoja na taifa kwaujumla mfano ardhi yenye rutuba, maddini, mito, misitu, barabara, n. K inapotokea hali ya hewa nzuri.
MAWAZIRI, MANIBU WAIRI,  WAKUU WA MIKOA, WAKUU WA WILAYA,  WABUNGE,  MADIWANI NA WOOOTE WATEULE NA WAKUCHAGULIWA TUONGEZENI JUHUDI KATIKA KUISIMAMIA AJENDA YA TAIFA YA UCHUMI WA VIWANDA.  Tunawaamini mood vizuri. Chapeni kazi
Masaga Paul 
     Maswatz
Masagapaul4@gmail.com 

 

Comments

Popular posts from this blog

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MADINI MHESHIMIWA NYONGO MKOANI IRINGA....

MWANAMALUNDI, MSUKUMA ALIYEMSHINDA MKOLONI