KHERI YA MWAKA MPYA

Kwaniaba ya Umoja wa vijana wa chama Cha mapinduzi Wilaya ya Maswa, napenda kuwatakia Kheri ya mwaka mpya 2022. Ukawe mwaka wenye Kheri ,neema na Mafanikio makubwa kwa kila mmoja wetu.
Masaga John Paul.
Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Maswa (M/k/ siasa)

Comments

Popular posts from this blog

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MADINI MHESHIMIWA NYONGO MKOANI IRINGA....

MWANAMALUNDI, MSUKUMA ALIYEMSHINDA MKOLONI