Ziara ya katibu mkuu wa chama cha mapinduzi CCM Taifa Dr Bashiru Ally mkoani Simiyu Imetamatika katika wilaya ya Maswa ambapo pamoja na Mambo mengine Dr. Bashiru Ally aliweza kusimika Jiwe la Msingi la ujenzi wa jengo la kitega uchumi. na kuwahutubia mamia ya wanachama wa CCM waliojitokeza kwa wingi kumraki na kumsikiliza katibu mkuu wa CCM . katika hatua nyingine Mbunge wa Maswa Mashariki na Naibu waziri wa Madini Mheshimiwa Stanslaus . H. Nyongo alipopata wasaa wa kusalimia aliweza kuhamasisha Harambee ya Papo kwa hapo ili kukamilisha baazi ya mahitaji ya Jengo hilo Ambapo Mheshimiwa nyongo akiwa kama katibu wa wabunge wa mkoa wa simiyu aliwaita wabunge wote waliokuwepo na akawaomba wamchangie chochote kwaajili ya ukamilishaji waa jengo hilo . Mhe Nyongo alitoa mifuko 100 ya cement, na wabunge wote walichangia Bati 150 wak...
Comments
Post a Comment